Secure Delivery & Biashara Mtandaoni

Nunua au uza bidhaa bila risk

Pesa inashikiliwa hadi mzigo ufike. Hakuna kutapeliwa kwa “tuma kwanza”. Enpay inahakikisha kila upande uko salama.

  • Mnunuzi analinda pesa yake
  • Muuzaji anauhakika wa malipo
  • Dispute resolution ndani ya masaa 72

Kwa Mnunuzi

Ununua bidhaa mtandaoni bila hofu ya kupoteza pesa yako

1

Lipa kwenye escrow

Weka pesa kwenye escrow ya Enpay. Pesa inafungwa hadi bidhaa ifike na ukubali.

2

Muuzaji anatuma bidhaa

Muuzaji anaona pesa ipo. Anatuma bidhaa kwa uhakika kuwa atalipwa.

3

Ukubali na pesa itolewe

Bidhaa ikifika na kuridhisha, pesa inatolewa kwa muuzaji. Kama si sawa, unafungua dispute.

Kwa Muuzaji

Uza bidhaa zako kwa uhakika wa malipo kabla hujatuma

1

Mnunuzi anaweka pesa

Kabla hujatuma bidhaa, mnunuzi anaweka pesa kwenye escrow. Unaona kuwa pesa ipo.

2

Unatuma bidhaa

Una uhakika kuwa utalipwa. Tuma bidhaa kwa amani ya moyo.

3

Unapokea malipo yako

Mnunuzi akikubali bidhaa, pesa inatolewa kwenye wallet yako mara moja.

Faida za Kutumia Enpay kwa Biashara Mtandaoni

Hakuna kutapeliwa

Pesa inashikiliwa hadi bidhaa ifike. Hakuna "tuma kwanza" tena.

Inafaa kwa bidhaa zote

Kuanzia nguo, vifaa vya elektroniki, samani, hadi magari. Escrow inafaa kwa bidhaa za thamani yoyote.

Secure delivery

Muuzaji anauhakika wa malipo. Mnunuzi anauhakika wa bidhaa. Kila mtu anafaidika.

Muda wa dispute ni masaa 72

Kama bidhaa haijafika au haipo kama ilivyoelezwa, unaweza kufungua dispute ndani ya masaa 72.

Jiunge na Enpay leo

Enpay.app inahakikisha kila ununuzi na uuzaji wako uko salama. Hakuna kubahatisha.